Recent Updates Toggle Comment Threads | Keyboard Shortcuts
-
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment Tweet -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetVIDEO: Mtangazaji anyonya matiti laivu on TV ili kuonja maziwa ya mwanamke
Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake.Mtangazaji huyo, Paul de Leeuw, alikuwa amealika Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetPhotos: Diamond & Nay wa Mitego, behind the scenes na zaidi
Picha za show ya Diamond na Nay wa Mitego, katika uzinduzi wa "Muziki Gani" iliyofanyika wikiendi iliyopita zimesambaa katika blogs mbalimbali. Lakini kuna picha mpya, ambazo zimetoka katika mtandao wa Diamond mwenyewe, thisisdiamond.com, ambazo Read more -
Dreám
Photos: Birthday party ya Ray The GreatestPicha zaidi nenda hapa. Read morePermalink | Log in to leave a Comment Tweet -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetMaisha ya Mr & Mrs SaJuKi hadharani
KATIKA Dunia shida raha mitihani vyote ni kwa ajili ya mwanadamu lakini hayo yote ujenga maana tu pale mambo hayo yanapompata mwenzako, mwanadada Wastara Juma ‘Stara’ mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahiliwood unaweza kumwita Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetZitto Kabwe ajitolea kugharamia music video ya “Dini Tumeletewa,” ya Afande Sele
Lengo la hii kazi yangu mpya DINI TUMELETEWA ni kumrudisha mwafrika kwenye uafrika wake ambao msingi wake ni UMOJA, USHIRIKIANO NA UPENDO, ambao kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ukitoweka.Tumeona mapigano/mauaji ya itikadi za kidini Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetKUMEKUCHA BIG BROTHER!! WASANII WATAO-PERFORM SIKU YA UFUNGUZI
Show ya ufunguzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa itafanyika Jumapili hii, May 26 nchini Afrika Kusini.Usiku huo utawaonesha washiriki wote 28 watakaoanza safari ya miezi mitatu ya kuzisaka dola laki tatu za msimu wa nane wa Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment Tweet -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetPicha ya siku: Mpoki na Joti enzi hizoo!
Wasanii wa kundi la Original Komedi Mpoki "Mwarabu wa Dubai" na Joti aka "Asha Ngedere" aka.... jinsi walivyokuwa enzi hizo na walivyo sasa Source: richard-mwaikenda.blogspot.com. Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetSugu aishangaa serikali kukaa kimya kuhusu bifu la JayDee na Clouds FM
Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi akisoma hutuba ya kambi ya upinzani hivi punde amesema kwamba baadhi ya vyombo vya habari vikiwamo vituo vya redio vimekuwa vikiwanyonya wasanii nchini na kusababisha Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetPhotos: Jokate aipeleka Kidoti Time mkoani kwake
Naona wiki hii ni ya vinara wa Miss Tanzania 2006. Wakati wema yupo katika uzinduzi wa nafasi yake mpya kama msemaji wa Darling Hair Tanzania, mrembo, mtangazaji na mjasiriamali Jokate Mwegelo alikua busy na "Kidoti Time" mkoani kwao Songea. Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetSikiliza/download wimbo mpya wa H-Baba – “Funga Zipu”
Sikiliza/download wimbo mpya wa H-Baba - "Funga Zipu." Sijui wewe lakini kwa upande wangu naona imetulia. Vipi wewe unaionaje? Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetPhotos: Wema aingia mkataba unaofanya awe staa anayeongoza kulipwa fedha nyingi
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata shavu la nguvu baada ya kuingia mkataba na kampuni nywele, Darling Hair Tanzania kuwa msemaji na muuza sura wao.Kwa mujibu wa fashion designer na meneja wa Wema, Martin Kadinda, Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetMwanamke anayeiba waume, ajikuta “Nyeti” zake zimetoweka
Mwanamke mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia, Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetVideo: G-Nako na Weusi, live performance at New Maisha Club
G-Nako na Weusi, live performance at New Maisha Club. G.Nako wakipafomu “Mama Yeyoo” na ngoma nyingine laivu ndani ya Maisha Club tarehe 19/5/2013
-
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetPhotos: Cheki jumba la dollar milioni 10 alilonunua Jennifer Lopez
Picha za nyumba ya mwanamuziki Jeniffer Lopez 'JLo' aliyoinunua hivi karibuni kwa bei ya dollar 10mil; sawa na TShs bilioni 16, au Kenyan Shs milioni 840. Nyuma hiyo iliyosimama katika eneo la hekta 3, iko maeneo ya Hamptons, NY.. Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetMakala: Jinsi Nay wa Mitego na Roma walivyoweza kujitengeneza kama wasanii wa biashara
Miongoni mwa changamoto kubwa wanayokabiliana nayo wasanii wa hip hop nchini ni kuingiza fedha kutokana na kazi zao.Bahati mbaya njia pekee na za uhakika za kuingiza fedha kupitia muziki zilizobakia ni malipo ya show na yale yanayotokana Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetChris Brown apata vitisho vya kuuawa
Muimbaji Chris Brown amejikuta aki ‘spend’ weekend yake akiwa katika hali ya wasiwasi baada ya kupata vitisho vya kumuondoa uhai kutoka kwa watu wasiofahamika.Kwa mujibu wa vyanzo, mwanasheria wa Chris, Mark Geragos alipokea simu Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetMabig…ndoa hizi; na mpango wa kando
wanaume za watu nao wamezidi kutongoza tongoza kuliko hata single boys. nina rafiki yangu yaani yeye alitongozwa bila kujua kama yule mwanaume ni mume wa mtu.Ni mwaka wa pili sasa yuko nae, amempangia na gari kamnunulia na amemuajiri kwenye Read more -
Dreám
Permalink | Log in to leave a Comment TweetNaimba mapenzi, biashara inayonilipa – Suma Lee
Ukitaja wasanii wa Bongo Fleva waliowahi kuibuka na kupotea nchini huwezi kumweka kando Suma Lee kwa kuwa alipotea kwa kipindi kirefu masikioni mwa mashabiki, lakini sasa ameibuka tena.Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Ismail Sadiki ni Read more



















