Picha za mazishi ya marehemu Sajuki.

mazishi-ya-sajuki

Advertisement


Baadhi ya picha kutoka katika mazishi ya msanii marehemu Juma Kilowoko “Sajuki”.  Wasanii mbalimbali kama mchekeshaji Masanja Mkandamizaji , Mwimbaji Linex , Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na King Kikii ni miogoni mwa wasanii waliohudhuria. Kwa picha zaidi, click link ifuatayo: BAADHI YA PICHA ZA MAZIKO, HAPA NDIPO ALIPOZIKWA MAREHEMU SAJUKI.
Source: MAyo